Waziri mkuu wa Sudan atangaza serikali kurejea Khartoum
Waziri Mkuu wa Sudan Kamil Idris ametangaza kwamba serikali ya taifa hilo imerejea mjini Khartoum, baada ya takriban miaka mitatu ya kufanya kazi katika mji unaokumbwa na vita wa Port…
Waziri Mkuu wa Sudan Kamil Idris ametangaza kwamba serikali ya taifa hilo imerejea mjini Khartoum, baada ya takriban miaka mitatu ya kufanya kazi katika mji unaokumbwa na vita wa Port…
KESHO Jumanne, ile safari ya takribani siku 17 katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inakwenda kuhitimishwa kwa kupigwa mechi ya fainali.
Wakati leo ikiadhimishwa miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar, mabadiliko mengi ya kiuchumi na...
Wamiliki wa vituo vya soka katika Halmashauri ya Manispaa ya Musoma Mkoani Mara wametakiwa kushikamana nikuhakikisha wanarejesha heshima na utawala wa soka katika Manispaa hiyo ikiwa pamoja na kuweka mikakati…
#HABARI: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Joseph Daudi Mwakalinga Mkazi wa Zimbili Kinyerezi Wilaya ya llala Salaam kwa tuhuma za kumjeruhi kwa fimbo na moto…
Siku moja baada ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kueleza wanafunzi waliofeli mitihani...
Kocha wa Morocco Walid Regragui amekanusha minong'ono kuwa timu yake inanufaika kutokana na upendeleo kutoka kwa waamuzi kama mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi...
Zikiwa zimesalia siku chache Shule za Msingi na Sekondari kufunguliwa nchini, wazazi na walezi...
Ajali nyingine ya gari imetokea katika Mkoa wa Tanga na kusababisha vifo vya watu wanne huku...
Usafirishaji wa misaada ya kibinadamu unajumuisha chakula, vifaa vya matumizi ya kibinafsi, na vifaa vya matibabu na malazi kwa watu wa Sudan waliohamishwa na migogoro inayoendelea.
DAR ES SALAAM: THE advancement of Artificial Intelligence (AI) has been described as not a threat to replace people’s jobs but rather an opportunity to facilitate work efficiency. This has…
Uturuki imesisitiza "uungaji mkono wake mkubwa" kwa Somalia na pia kusisitiza kukataa kwake kutambua kwa Israel eneo la Somaliland.
Duka kubwa la kuuza vifaa vya umeme na elektroniki lililopo eneo Mtaa wa Bondeni jirani na...
Huyu Nawanda anapitia mengi, Usikose kutazama NOMA leo usiku kuanzia saa 1:00 kupitia #SinemaZetuHD
Bhaiyya Ji, ndio movie ya kihindi leo saa 4:00 usiku kupitia AzamTWO. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #BhaiyyaJi #AzamTWO
Wazee wanaoshi katika mazingira magumu Kata ya Nyankumbu Manispaa ya Geita wamekishukuru Kikundi Cha Nyankumbu Shule Group kwa kuwasaidia mahitaji ya msingi huku wakitoa wito kwa Jamii kuendelea kuwasaidia watu…
Mwanaume mmoja nchini China amemshtaki mke wake mahakamani na kutaka alipwe fidia kutokana na mwenza wake huyo kuwa na tabia ya kula kupita kiasi. Hakimu aliyesikiliza kesi hiyo alipinga na…
Nani alimuua Farhan Maluli na mabaki ya mwili yaliyofukuliwa huko Sharifu Shamba jijini Dar es...
Duuh hii kali, Siwa wamemaliza hadi chakula cha Mkwe. Usikose kutazama #KombolelaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Chama Kikuu cha Ushirika wilayani Kyela mkoani Mbeya (Kyecu) kimesema mabadiliko ya mara kwa...
Waluguru ni miongoni mwa makabila yaliyothamini amani, utulivu na mshikamano lakini...
Siku chache baada ya kuaga Yanga, mshambuliaji Andy Boyeli ameitakia kila la kheri timu hiyo...
Wananchi wa Mtaa wa Ngeleli, Kata ya Ruaha Manispaa ya Iringa, wameelezea hofu yao juu ya...
DAR ES SALAAM: Tanzania imeendelea kung’ara kimataifa baada ya Benki ya Dunia (World Bank – WB) kuitaja kuwa miongoni mwa nchi zilizo na ukomavu wa juu wa matumizi ya TEHAMA…
Azam na Yanga kesho Jumanne zitacheza fainali ya Kombe la Mapinduzi kwenye Uwanja wa Gombani...
Kingwendu akieleza utofauti wa uchekeshaji wa zamani na wa sasa, Usikose kutazama ALAMA kila Alhamisi saa 2:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD ukiwa na @sophiamgaz
Wazabuni wazawa Mkoani Dodoma wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizopo katika sekta ya ununuzi wa umma kwa kushiriki kwa uaminifu, weledi na kufuata taratibu zilizowekwa na serikali. #kilichoborakabisa
Mchungaji ambaye pia ni mmwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya amefikishwa hospitali baada ya kuanguka na kupoteza fahamu wakati akijaribu kuukumbatia mti kwa saa 80 ili kufikisha ujumbe kuhusu…
"Kila chema tunachokitaka kwenye hii dunia kinaanzia kwenye familia"- Mshauri wa Saikolojia, Uhusiano na Malezi, Bupe Mwabenga akizungumzia kuhusu ustawi wa ndoa imara ambapo amesema ili kufanya mambo mema katika…
DAR ES SALAAM: Tanzania has again been placed among the world’s most digitally mature public sectors after the World Bank classified the country in the top tier of its GovTech…
Wakati Serikali ikidhamiria Watanzania wanne kati ya watano watumie nishafi safi ya kupikia...
Kwa mvuto wake wa kipekee, uthubutu na uwezo wa kujiweka karibu na wananchi wa kawaida, nyota wa muziki Bobi Wine ametingisha siasa za Uganda.
Serikali ipo mbioni kuandaa Sera ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria itakayoweka misingi ya kuboresha na kuimarisha upatikanaji wa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi wote. Waziri wa Katiba…
Ikiwa zimepita siku chache tangu jarida la Kimataifa la CNN Travel kutaja Hifadhi ya Taifa ya...
DAR ES SALAAM: There are defeats that break you. And then there are defeats that expose the opponent. Last Sunday’s match did not end with Taifa Stars advancing on the…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ameshangazwa na ripoti za vurugu na matumizi makubwa ya nguvu yanayofanywa na mamlaka ya Iran dhidi ya waandamanaji katika maeneo mengi nchini…
Klabu ya Brighton & Hove Albion inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini England...
MOSCOW: Squeezed between import substitution and dependency syndrome, a condition characterized by a set of associated economic symptoms—that is rules and regulations—majority of African countries are shifting from United States…
Mimi naona Nawanda anawachora tu
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amesema wataendelea...
Iran imezitishia Israel na Marekani kwamba itazishambulia vikali iwapo Washington, itajaribu kuishambulia Tehran kwa kile inachosema ni kuunga mkono maandamano ya kupinga ugumu wa maisha.
Wanajeshi wa Israel na wanamgambo wa kipalestina wa Hamas wanasemekana kujitayarisha kuanzisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.
Vyama vya upinzani na makundi ya kutetea haki za binadamu Venezuela, yamesema afisa wa polisi aliyekamatwa na kutuhumiwa kwa "uhaini" dhidi ya taifa hilo amefariki akiwa kizuizini.
Marekani imeanzisha mashambulizi mengine ya kulipiza kisasi dhidi ya kundi linalojiita Dola la Kiislamu Syria, kufuatia shambulizi lililofanywa na kundi hilo lililosababisha mauaji ya wanajeshi wa Marekani.
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo amesema atawatumia wakaguzi wa wizara hiyo kukagua mahesabu...