CARBAO Cup Nusu Fainali Jumatano hii
Manchester City watakuwa nyumbani Etihad Stadium wakiwakaribisha mabingwa watetezi Newcastle United.
Katika mchezo wa mkondo wa kwanza Man city akiwa ugenini walishinda 2 – 0
Je, watashinda nje ndani ama Newcastle kufanya comeback?
Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 5:00 usiku na kuruka mbashsara kupitia AzamSports1HD.
#CarabaoCup #NUFC #ManCity #Azamtvsports