Diwani wa Kata ya Saranga, mhandisi John Sanga amemuomba Mbunge wa Jimbo la Kibamba ilipo kata hiyo kuisaidia kata hiyo kupata fedha za kukamilisha miundombinu ya barabara pindi Bunge la Bajeti litakapoanza.
Mhariri @moseskwindi