Pamoja na kukosa elimu ya ufundi au teknolojia kutoka vyuo au taasisi rasmi zinazotambuliwa, mbunifu Eston Chaula kutoka wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe, ambaye ana elimu ya msingi tu, ameendelea kuaminika na kuwa msaada kwa jamii kwa kuwa mkufunzi wa vijana wengi wanaohitaji maarifa ya ufundi, pamoja na watu wengine kutoka nje ya mkoa wa Njombe.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)