Mdau wa elimu, Moses Kyando, amesema kuwa tofauti ya ufaulu kati ya wanafunzi wa shule za serikali na binafsi inachangiwa kwa kiasi kikubwa na uhaba wa walimu katika shule za serikali, hali inayosababisha mwalimu mmoja kuwahudumia wanafunzi wengi na kushindwa kuwafikia wote ipasavyo.
✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | John mbalamwezi
#AzamTVUpdates