Wataalamu wa habari kutoka nchi zaidi ya 10 duniani wameanza kongamano la siku tano la kujadili namna bora ya kutoa taarifa zinazohusu masuala ya uhamiaji ikiwemo tofauti ya watu wanaosafiri kwa kulazimishwa na kuhama kwa hiyari sambamba na michango tao katika maendeleo.

Mkutano huo unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Kikristu nchini Uganda unahudhuria na wahadhiri wa vyuo vikuu, waandishi wa habari, wanafunzi sambamba na wadau wa masuala ya uhamaji na uhamiaji.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *