Wananchi Wilayani Butiama Mkoani Mara ,wameiomba Serikali kuwachukulia hatua Kali baadhi ya watu wanaotumia majukwaa kisiasa kuchafua Viongozi kwani kuruhusu mijadala hiyo nikuzorotesha Maendeleo kwa wananchi.
#kilichoborakabisa
(Feed generated with FetchRSS)