Madagascar: Baada ya Moscow, Rais Randrianirina achagua ‘ushirikiano mpya’ na Paris
Miezi minne baada ya kuchukua madaraka, Kanali Michaël Randrianirina amepokelewa katika Ikulu ya Élysée siku ya Jumanne, Februari 24, na mwenyeji wake Emmanuel Macron. Wawili hao walichangia chakula cha mchana…