Tume ya Uchunguzi Oktoba 29 yaongezewa siku 42, wadau watoa neno
Wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa...
Wakati Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa...
Upatikanaji wa maji safi na salama unaendelea kuwa kipaumbele katika ajenda ya maendeleo ya...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesisitiza dhamira ya nchi yake kulinda haki halali za taifa katika nyanja ya nishati ya nyuklia kwa njia ya diplomasia.
Iran imejiunga na nchi na mashirika kadhaa ya Kiislamu na Kiarabu katika kulaani vikali kauli za balozi wa Marekani katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu, aliyedokeza kuwa Israel ina haki ya…
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linatarajia kuingiza kwenye gridi ya Taifa umeme...
Nyota wa kimataifa wa riadha wa Tanzania, Gabriel Geay amefanya kweli katika Mbio za Daegu...
ARUSHA: ZAHANATI yenye gharama ya zaidi ya Sh milioni 180 inajengwa ndani ya ukuta wa migodi ya madini ya Tanzanite iliyopo katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mirerani mkoani Arusha.…
Takribani watu 50 wameuawa na wanawake pamoja na watoto kadhaa kutekwa nyara katika shambulio la kigaidi lililolenga kijiji kimoja katika jimbo la Zamfara, kaskazini-magharibi mwa Nigeria.
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu, Volker Türk, ameonya kuwa bila kuweka mifumo madhubuti ya udhibiti kwa haraka, akili mnemba (AI) inaweza kuongeza pengo la usawa,…
Sekta ya madini nchini Sudan imepata hasara inayokadiriwa kufikia dola bilioni saba kufuatia kuendelea kwa vita vya vya ndani kwa takribani miezi 34. Hayo ni kwa mujibu wa Mamlaka ya…
Kama kuna eneo muhimu kwa sisi wazazi kulizingatia ni kuelewa hisia za watoto kabla hatujawapa...
Katika zama hizi, ndoa nyingi haziishi tena kwa misingi ya ukweli bali kwa misingi ya maonyesho.
Andrew Mountbatten-Windsor amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 66 akiwa ndani ya seli ya polisi akiwa na “kitanda na choo tu”, ni nini kilichosababisha kuanguka kwa heshima ya mwanamfalme wa…
Jina la mshambuliaji wa Bayern Munich, Harry Kane limeibuka katika kampeni ya kuwania Urais wa...
Safari ya kumaliza mfumo wa mikondo miwili kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari...
Watu watatu akiwamo mwanafunzi wa darasa la pili, wamefariki dunia kufuatia mvua zinazoendelea...
PARIS: TANZANIA will host the International Kiswahili Conference in Paris, France, from April 27 to 30, 2026, the government has confirmed. The conference, aimed at celebrating the global growth of…
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Karim Amri, ameongoza Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Kagera kufanya ziara ya kuimarisha chama…
Ushahidi wa maandishi katika kila jambo unalofanya ni muhimu sana, litakulinda na mambo mengi kisheria kama mwanasheria wetu anavyoeleza zaidi. #SheriaUpdate (Feed generated with FetchRSS)
DAR ES SALAAM: THERE are some evenings that pass like polite dinner guests. They knock gently, compliment the curtains and leave before the tea goes cold. And then there are…
Kuvunjika kwa ndoa ni tukio linalotikisa misingi ya familia na kuacha maumivu makubwa kwa...
ZANZIBAR: THE Zanzibar Government has signed a Public-Private Partnership (PPP) agreement with Infinity Developments to restore and upgrade key historical sites within Stone Town, with the investor committing approximately 12…
Tottenham Hotspur itawakosa nyota tisa tegemeo leo wakati itakapokuwa kwenye Uwanja wake wa...
Tangu mwanzoni mwa mwaka 2026, mashambulizi matano dhidi ya vituo vya matibabu tayari yamerekodiwa katika mzozo wa Sudan, mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema siku ya Jumamosi, Februari…
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kitanzania, Morice Sichone amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Gulf FC inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza huko United Arab Emirates akitokea Tridents FC ya Zambia.
KIPA kijana wa Kitanzania, Abdallah Hamisi anaendelea kuandika rekodi yake kimyakimya katika Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE Pro League) baada ya kupandishwa kutoka kikosi cha vijana hadi timu…
BEKI wa zamani wa Yanga Princess, Noela Luhala, ametambulishwa rasmi kujiunga na timu ya wanawake ya MFA Zalgiris ya Lithuania, hatua inayomfungulia ukurasa mpya katika soka la Ulaya.
MWANZA: CENTRAL Bank officials from the East African Community (EAC) member states visited the Bank of Tanzania (BoT) Mwanza Branch to learn about the implementation of BoT’s gold purchasing and…
Kwa siku nane za mashindano ya mbio za baisikeli, toleo la kumi na nane la Tour du Rwanda litafanyika kuanzia Februari 22 hadi Machi 1. Mbio hizo zitaanzia Rukomo na…
MSHAMBULIAJI nyota wa Tanzania, Hasnath Ubamba ameendelea kung’ara nchini Misri akikipigania kikosi cha FC Masar Women kuendeleza mbio za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake.
Kwa muda wa saa tisa, Ligi Kuu ya NBC leo itakuwa katika hisia za maelfu ya mashabiki wa soka...
Mtaalamu wa Uchumi Wilbald Msofe amesema kuwa maandalizi ya maisha ya kustaafu yanapaswa kuanza tangu siku ya kwanza mtu anapoajiriwa. Msofe ameeleza kuwa wafanyakazi wengi hufanya kosa la kusubiri hadi…
LICHA ya mwenendo mbaya wa African Sports 'Wanakimanumanu' msimu huu katika Ligi ya Championship, ila kocha wa kikosi hicho, Khalid Adam, amesema ataendelea kuipigania timu hiyo hadi mwishoni, ili ibakie…
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda amewaelekeza watendaji wa kata jijini Mbeya...
Kuna wakati ndoa huonekana kama daraja la kuvuka kwenda kesho iliyo bora.
Mhadhiri wa Falsafa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Jackson Coy, amesema jamii inapaswa kufikiri zaidi ya mtazamo wa kawaida ili kuona thamani na mahitaji ya makundi yenye…
MSHAMBULIAJI wa Mbeya Kwanza, Boniface Mwanjonde, amesema ameumia baada ya usajili wake wa kujiunga na Fountain Gate ya Ligi Kuu Bara katika dirisha dogo la Januari 2026 kukwama, ingawa amechukulia…
Kocha wa Chelsea, Liam Rosenior, amewashukia baadhi ya wachezaji wake kufuatia sare dhidi ya...
TIMU ya TMA FC ya jijini Arusha, iko katika hatua za mwisho za kumuajiri kocha Mzanzibari, Haji Ali Nuhu, ili kukiongoza kikosi hicho cha Championship hadi mwishoni mwa msimu huu,…
Uamuzi mkali wenye athari za haraka. Kwa kuwekeza katika magari ya umeme ili kulegeza mshiko wake juu ya utegemezi wa nishati, Ethiopia kimsingi inabadilisha mfumo wake wa maendeleo—na kufichua waziwazi…
MSHAMBULIAJI wa Kagera Sugar, Hassan Mwaterema, amesema siri ya mwenendo mzuri kwa kikosi hicho hadi sasa katika Ligi ya Championship msimu huu, ni kutokana na ushindani mkali kutoka kwa wapinzani…
ALIYEKUWA Kocha wa Songea United, Meja Mstaafu, Abdul Mingange, amesema ameamua kuachana na timu hiyo kwa makubaliano ya pande mbili, licha ya kutofikia malengo aliyojiwekea tangu mwanzoni mwa msimu ya…
Akiwa mfuasi wa Martin Luther King Jr., Jackson alijenga kazi yake kwa kuandaa kisiasa na kuboresha maisha ya Wamarekani wenye asili ya Afrika.
Nchini Gambia, serikali inasema “ina wasiwasi mkubwa” kuhusu raia ambao wameenda nje ya nchi kupigana, wakikusudia “kujiandikisha katika migogoro ya silaha.” Imechapishwa: 22/02/2026 – 09:34 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Nilitendwa na mwanaume niliyempenda na niliamini tungeoana kwa maneno mazuri aliyokuwa...
Nchini DRC, kufuatia onyo la IMF kuhusu muswada wa mishahara unaoongezeka, ambao sasa unazidi nusu ya bajeti ya serikali, Rais Félix Tshisekedi anajikita katika usimamizi wa mishahara ya wafanyakazi wa…
ARUSHA: Wizara ya Viwanda na Biashara ni moja ya muhimili mkuu katika ustawi wa uchumi wa Tanzania, ambapo kupitia taasisi zake 13, inabeba jukumu la msingi la kuchochea uanzishaji na…
Tukio hilo lilitokea usiku wa Jumapili, Februari 8, lakini liligunduliwa siku ya Ijumaa, Februari 20. Shirika la ndege la Air Côte d’Ivoire, lilikuwa mwathiriwa wa shambulio hilo la mtandaoni. Kulingana…