DRC: Gereza Kuu la Makala jijini Kinshasa lakumbwa na kipindupindu
Ugonjwa wa kipindupindu unaenea ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kufikia gereza kubwa zaidi nchini humo la Makala, jijini Kinshasa. Vifo vimeripotiwa katika gereza hilo. Wagonjwa kadhaa wamethibitishwa miongoni…