Je, maandamano ya Iran, yameleta kweli mabadiliko?
Kuchelewa kwa mabadiliko nchini Iran licha ya maandamano makubwa ya umma dhidi ya utawala wa Jamhuri ya Kiislamu kumeanza kuwakatisha tamaa wananchi, akiwamo mbunifu wa mitindo mwenye umri wa miaka…
Kuchelewa kwa mabadiliko nchini Iran licha ya maandamano makubwa ya umma dhidi ya utawala wa Jamhuri ya Kiislamu kumeanza kuwakatisha tamaa wananchi, akiwamo mbunifu wa mitindo mwenye umri wa miaka…
Mkutano na Rais Tshisekedi nchini Marekani uliangazia Makubaliano ya Washington ya Amani na Ustawi, pamoja na mustakabali wa uhusiano wa pande mbili kati ya Marekani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Hali ya huzuni na simanzi imetanda miongoni mwa wakazi wa mtaa wa Kitwiru, Manispaa ya Iringa, kufuatia kifo cha mtoto Geofrey Malate (11), aliyefariki dunia baada ya kuzama katika Mto…
DAR ES SALAAM: BENEFICIARIES of the Annual Company Secretaries Round Table are expected to walk away with insights on Environmental, Social and Governance (ESG) strategies for handling pressure in the…
PAMBA JIJI vs COASTAL UNION: Kocha wa Coastal Union Mohammed Muya amesema wachezaji wapo timamu na maandalizi yameenda vizuri kuelekea mchezo wa kesho. Kwa upande wake mchezaji wa klabu hiyo…
Wananchi wa Wilaya ya Chato mkoani Geita wametakiwa kutunza na kuhifadhi mazao ya chakula waliyofanikiwa kuvuna katika msimu wa kilimo, kufuatia kutokuwepo kwa mvua za uhakika katika maeneo mbalimbali ya…
Muda wowote kuanzia sasa, Simba itakamilisha makubaliano ya kumuuza mshambuliaji Kibu Denis...
Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu ameweka wazi kuwa ofisi yake haijapokea barua yoyote wala kutoa kibali kwa mbunge yeyote kuhojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).…
DAR ES SALAAM: THE Medium-Term Review of the Tanzania Food Systems Resilience Program (TFSRP) which has reached the halfway point of its implementation period, is among the key issues being…
Wakazi wa mji wa Kisangani, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamelazimika kuyahama makaazi yao kutokana na hofu kwamba waasi wa M23 watashambulia tena baada ya kuulenga kwa mashambulizi ya droni…
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has fast-tracked the implementation of the Second National Action Plan on Antimicrobial Resistance (NAP AMR 2023–2028), which aligns with the World Health Organization (WHO)…
TANGA: KAMATI ya Ushauri ya Wilaya ya Handeni (DCC) imepitisha mapendekezo ya rasimu ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti ya Sh bilioni 35 kwa mwaka wa fedha 2026/27 ya Halmashauri…
DODOMA: THE Minister of Finance, Mr Khamis Mussa Omar, has said that the Government recognizes the significant contribution of the telecommunications sector in promoting an inclusive economy through major reforms…
Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omar, amesema kuwa mageuzi ya uchumi yataendelea kuwa ajenda ya muda mrefu yakilenga si tu kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi bali kuhakikisha ukuaji…
DODOMA; SERIKALI imesema kupitia Sera ya Taifa ya Nishati ya mwaka 2015, imeweka mkazo wa kuendeleza vyanzo vya nishati jadidifu hususan upepo na jua, ili kuimarisha upatikanaji wa umeme wa…
Jeshi la Pakistan limesema Alhamis limekamilisha operesheni ya wiki nzima dhidi ya waasi wanaotaka kujitenga huko Balochistan.
Iran na Marekani watafanya mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran hapo Ijumaa nchini Oman.
Iran na Marekani zimekubaliana kufanya mazungumzo ya nyuklia nchini Oman, huku mvutano kati yao ukizidi kutanuka kufuatia madai kuwa Iran iliwakamata na kuwaua waandamanaji waliokuwa wakiipinga serikali mwezi uliopita.
GEITA: WAKALA wa Huduma za Misitu Nchini (TFS) wilaya ya Geita imefanikiwa kumkamata mtu mmoja (jina linahifadhiwa) kwa tuhuma za kuhusika na kilimo cha hekari 3.5 za bangi ndani ya…
Rais wa China Xi Jinping jana amefanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Rais wa Urusi Vladimir Putin na Rais wa Marekani Donald Trump.
Ukraine na Urusi Alhamis zimeanza siku ya pili ya mazungumzo chini ya upatanishi wa Marekani huko Abu Dhabi.
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, Alhamis alikaribishwa na Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman katika kasri la Al Yamamah huko Riyadh.
Licha ya urafiki wake na watu maarufu, Epstein alijaribu kuweka maisha yake binafsi kuwa siri, akidaiwa kuepuka shughuli za kijamii na chakula cha jioni katika migahawa.
KIGOMA: Mabalozi na wananchi wa kata ya Kandaga Halmashauri ya Wilaya Uvinza mkoani Kigoma wameiomba serikali kukamilisha mradi wa kituo cha afya katika kata hiyo ili waondokane na shida ya…
N’Golo Kante kuhama Al-Ittihad ni wazi wachezaji wanaoondoka Saudi Arabia kwenda Ulaya. Wasiwasi upo kuhusu ushindani, changamoto za mtindo wa maisha.
Miongoni mwa nyenzo muhimu unazoweza kuzitumia kujiajiri na kukuza biashara yako ni mikopo. Je, unafahamu kwa kina taratibu za kupata mikopo inayotolewa na halmashauri kwa makundi maalum yakiwemo vijana, wanawake…
Rais wa China Xi Jinping amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Marekani Donald Trump pamoja na Vladimir Putin wa Urusi katika nyakati tofauti Jumatano. Wamejadili masuala kadhaa likiwemo kuimarisha…
KUTOKA ANGOLA: Mtangaza @mangasore_ akutana na mshangao jijini Luanda Angola hasa kwa upande wa usalama. Jana ilikuwa ni sikukuu ya mapanga nchini Angola. Simba SC ipo Angola kucheza dhidi ya…
Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu amesema hadi sasa hajapokea barua ya wito kutoka...
Watu wanaodaiwa kuwa majambazi wamempiga risasi mkazi wa Tunduma, wilayani Momba mkoani Songwe,...
Ripoti mpya iliotolewa na kampuni ya utafiti ya Gallup inaonyesha kuwa Vijana wa Kimarekani hawaviungi mkono vyama vikuu viwili vya siasa vya Democratic na Republican.
ARUSHA: TANZANIA imeendelea kupiga hatua kubwa katika matumizi ya teknolojia ya nyuklia kwenye sekta za afya, kilimo, uhifadhi wa chakula na maandalizi ya nishati mbadala, ikiwa ni sehemu ya mkakati…
PAMBA JIJI vs COASTAL UNION: Kocha wa Pamba Jiji Francis Baraza amesema maandalizi kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Coastal Union yamekamilika. Kocha huyo amesema anatarajia wachezaji kuonesha kile alichowaelekeza…
🌻 INAKUJA HIVI KARIBUNI… 🌻 Kitu safi, cha dhahabu na cha hali ya juu kinakuja sokoni. Mafuta ya Alizeti ya MERRIN FARM ✨ Daraja la Kwanza · Kukamua na Kukamua…
MTWARA: MKUU wa Wilaya ya Tandahimba, Michael Mntenjele amewaomba madiwani pamoja na viongozi wengine wilayani humo kuendelea kuwakumbusha wananchi na wageni umuhimu wa kujiandikisha kwenye daftari la wakazi ili kurahisisha…
Tuhuma dhidi ya kampuni ya Softcare kuhusu matumizi ya malighafi zilizokwisha muda zimeibua hasira Senegal, zikichochea uchunguzi, maandamano na hofu ya usalama wa taulo za kike.
MABOSI wa Fountain Gate wamefikia uamuzi wa kuhamishia mechi zote za nyumbani za timu hiyo za Ligi Kuu na mashindano ya ndani kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, baada…
Tasnia ya muziki na burudani nchini Tanzania ilipata pigo kubwa Januari 3, 2026, baada ya...
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mzambia Joshua Mutale 'Budo', amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Al Adalah Club ya Saudi Arabia, baada ya mabwanyenye hao wanaoshiriki Ligi Daraja la Kwanza kuonyesha nia…
Maelezo haya ni nukta kumi kwa muhtasari, yakijumuisha ufafanuzi na maoni yangu binafsi...
ZANZIBAR KASKAZI CUP 2026: “Ni mchezo ambao umekuwa ukivutia sana soko la utalii hapa Zanzibar” Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii Zanzibar, Aboud Suleiman Jumbe amesema mchezo wa vishada umekuwa…
''F-16 bado inaonekana kama ndege iliyotangulia wakati wake, kama chombo cha baadaye kilichobaki katika zama za sasa'', anasema Robinson, mtaalamu wa masuala ya anga katika Jumuiya ya Kifalme ya Anga…
Zikiwa zimesalia dakika 180 kwa Azam FC kusaka tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe...
Mbunge wa Belgut Nelson Koech anaomba radhi bila masharti kwa matamshi ya awali kuhusu vitendo vya polisi, akikiri kwamba vilikuwa vibaya na vinaendeshwa na hisia.
MATOKEO ya kukosa ushindi katika mechi tano mfululizo yameonekana kuwaumiza Mashujaa FC, huku benchi la ufundi likitoa msimamo kwa nyota wake na kuahidi kurejesha kasi waliyoanza nayo msimu huu.
Moses Nduya alikuwa mtoto pekee wa Kavindu na Seneta wa zamani wa Machakos Johnson Muthama, ambaye pia aliwahi kuwa mwenyekiti wa Muungano wa Kidemokrasia.
VIWANJANI: “Wakati mwingine ni kuwa na wakati mbaya kazini” Mchambuzi wa soka mwenye taaluma ya ukocha Michael Hyera amesema kupanda kwa viwango vya uchezaji miongoni mwa mabeki wa Yanga SC…
VIWANJANI: “Baada ya kuaminiwa inaonekana ule muarobaini umepatikana katika eneo la kiungo” Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis amesema Mohammed Damaro ni suluhisho la kiungo katika klabu ya Yanga. Rashidy amesema uwezo…
Je, ni nyoka gani anayetajwa kuwa hatari zaidi duniani kwa binadamu? 🐍💀 a. King Cobra b. Kifutu c. Black Mamba 👉 Tupatie jibu sahihi kwenye comment 👇 #AzamTVUpdates ✍John Mbalamwezi