Robo Fainali DFB Pokal kuendelea leo Jumatano
Robo Fainali DFB Pokal kuendelea leo Jumatano Je, timu gani kuifata Leverkusen kwenye hatua ya nusu fainali? Mchezo huu kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD. #DFBPokal #Azamtvsports
Robo Fainali DFB Pokal kuendelea leo Jumatano Je, timu gani kuifata Leverkusen kwenye hatua ya nusu fainali? Mchezo huu kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD. #DFBPokal #Azamtvsports
Jopo maalumu la upatinishi la Umoja wa Afrika limesisitiza kuwa bara hilo linatakiwa kuhusika moja kwa moja katika kuutatua mzozo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini sheria inayorefusha mkataba wa biashara kati ya Marekani na Afrika, AGOA, hadi Desemba 31 mwaka huu wa 2026.
Kifo chake kimetokea wakati ambapo Libya bado inakabiliwa na msukosuko unaotokana na makundi yenye silaha, mamlaka zinazopingana kisiasa, na utawala dhaifu wa serikali kuu unaendelea kuchochea ghasia.
Naibu Rais Kithure Kindiki alimkemea Fred Matiang'i, akidai kushindwa kwake katika elimu na kutishia kumfichua kuhusu uuzaji wa ardhi wenye utata.
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis amesema KMC FC inatakiwa kushinda michezo yake miwili iliyosalia kwenye mzunguko wa kwanza wa NBC Premier League ili kufufua matumaini ya kusogea nafasi za juu.…
VIWANJANI: “Unajua kuna changamoto ya muunganiko vilevile....” Meneja wa klabu ya Simba Patrick Rweyemamu, amesema wanaelekea Angola wakiwa na kikosi cha wachezaji 23 huku wakiwa na maingizo ya wachezaji wapya…
Uchunguzi wa maiti uliofanyiwa Brenda Akinyi ulionyesha kwamba alifariki baada ya ubongo wake kuvimba, hali aliyoipata alipokuwa shule ya Njoro Girls.
Ni kiungo gani katika mwili wa binadamu ambacho hakipati saratani? A. Moyo ❤️ B. Koo 🗣️ C. Mapafu 🌬️ Chagua jibu sahihi na utuandikie kwenye coment #AzamTVUpdates
Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna Alionya kwamba kujihusisha kwa chama hicho na Rais William Ruto kunaweza kuingia katika upinzani baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Katika jitihada za kuhakikisha vyanzo vya maji vinaendelea kuwa salama, Bodi ya Maji Bonde la Wami-Ruvu imewawezesha wananchi wa Kijiji cha Msonge, mkoani Morogoro, kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki.…
Soma zaidi hapa...
Mazingira ya kifo chake hayajatangazwa rasmi, lakini vyombo vya habari vya Libya vimeripoti...
Tanzania imeendelea kushuhudia ongezeko la wanafunzi wanaodahiliwa katika mtalaa wa amali kila...
Katika hatua muhimu ya kukuza ujumuishaji wa huduma za kidijitali nchini, Yas imeungana na...
Afisa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Richard Shabani amewashauri watoa huduma katika vituo vya masaji pamoja na saluni kuchukua tahadhari za kiafya kwa kujikinga wakati wa kutoa huduma…
Kampuni kubwa zaidi ya kuzalisha umeme ya Japani ya Jera, imetia saini mkataba wa muda mrefu wa kununua gesi asilia ya kimiminika, LNG kutoka Qatar, kuanzia mwaka 2028. Jera inasema…
Uhispania imekuwa nchi ya hivi karibuni barani Ulaya kuzingatia upigaji marufuku wa mitandao ya kijamii kwa watoto.
Kongamano la wanataaluma lililohudhuriwa na maafisa kutoka Chama cha Kikomunisti cha China na chama kikubwa zaidi cha upinzani cha Kuomintang cha Taiwan lilifanyika China Februari 3. Vyombo vya habari vya…
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian anasema amemwagiza Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuendelea na mazungumzo na Marekani.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameilaani Urusi kwa kushambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine.
Mama wa mwanamke Mjapani aliyetekwa nyara na Korea Kaskazini ameelezea matumaini ya kuungana tena na binti yake baada ya karibu miaka 50 ya kutengana.
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer na Rais wa Marekani Donald Trump wamekubaliana siku ya Jumanne, Februari 3, “kuendelea kufanya kazi kwa karibu” ili kuhakikisha operesheni endelevu ya kambi ya…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Riziki Shemdoe amekutana na uongozi wa NMB Bank kujadili maboresho ya mchakato wa utoaji…
Saratani si hukumu ya mwisho…ni mapambano yanayohitaji sauti zetu zote, hatua zetu zote na imani kwamba kwa pamoja, tunaweza kubadili simulizi ya hofu kuwa ya matumaini kwa kuimarisha dhamira ya…
Ongezeko la bei ya petroli nchini inashuhudiwa wakati ambao bei kikomo kwa Februari 2026 za...
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na msukumo mkubwa wa kitaifa na kimataifa wa...
Droni ya doria na ya intelijinsia ya vikosi vya ulinzi vya Iran imefanikiwa kukamilisha kwa mafanikio operesheni yake katika maji ya kimataifa huku ripoti zikiarifu kuwa askari wa Marekani wameitungua…
NBC Premier League leo Jumatano Saa 10:00 jioni, Fountain Gate watakuwa uwanja wa nyumbani Tanzanite Kwaraa wakiwakaribisha Namungo FC. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limethibitisha katika ripoti yake ya kila mwaka iliyotolewa leo Jumatano kwamba katika mwaka mzima wa 2025 Israel ilifanya uhalifu wa…
Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameanzisha mgomo wa kuichezea Al Nassr huku ikiripotiwa kuwa...
Rached Ghannouchi, mkuu wa harakati ya Ennahda na spika wa zamani wa Bunge la Tunisia, alitangaza jana Jumanne kwamba hatakata rufaa mahakamani dhidi ya hukumu ya kifungo cha miaka 20…
Vyombo vya habari vya kimataifa viimefichua uhusiano unaokua kati ya utawala haramu wa Israel na mrengo wa kulia barani Ulaya, hasa katika kupiga vita Uislamu na Waislamu katika nchi za…
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed, jana alieleza kuwa Chuo Kikuu cha pili duniani kilichojikita katika akili mnemba (AI) kinatarajiwa kuzinduliwa nchini Ethiopia mwaka kesho wa 2027.
Gavana Muthomi Njuki alikanusha madai ya kutoroka uwajibikaji huku baada ya hali ya kuchanganyikiwa kujiri katika Kamati ya Seneti kuhusu matumizi ya pesa za umma.
Katika makala hii, ninaichambua Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ambayo...
Hii ni hatua mpya kwa mchakato wa amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Serikali ya Kongo na kundi lenye silaha la AFC/M23 walisaini hati mpya Jumatatu, Februari…
Watuhumiwa hao wakazi wa Tarime mkoani Mara na jijini Arusha wanatuhumiwa kuiba gari hilo mali...
Saif al-Islam Gaddafi, mwana wa mtawala wa zamani wa Libya, amefariki chini ya hali zenye utata, na kuacha urithi mgumu katika siasa za Libya tangu kifo cha babake.
Aliyekuwa mwimbaji nyota wa taarabu, Ally Star, anatarajiwa kuzikwa leo Jumatano Februari 4...
Mitandaoni kumekuwa na maswali mengi kwa nini msanii Alikiba amesaini msanii wa kike kutoka...
Raia wanne wameuawa na pikipiki sita kuchomwa moto katika shambulio lililohusishwa na waasi wa ADF siku ya Jumanne, Februari 3, katika kijiji cha Mulolya, kilichopo kilomita kumi magharibi mwa wilaya…
Mwanasiasa maarufu wa Nakuru aliyejirekodi akilia kwa ukosefu wa wateja alishiriki kwamba aliingiza KSh 2.3 milioni katika biashara yake kabla ya kuporomoka.
Mwanamume kwa jina Benjamin Offi alipatikana amekufa siku chache baada ya kugundua kuwa watoto wote wanne aliowalea katika ndoa yake ya miaka tisa si wake.
Utawala wa Marekani unatarajia kupokea takriban wawkilishi wa nchi zaidi ya arobaini mjini Washington leo Jumatano, Februari 4, 2026, kwa ajili ya mkutano kuhusu madini muhimu. Mkutano huo, ulioandaliwa na…
Wakazi mtaani Kahawa West walipandwa na hasira kufuatia vifo vya James Muraga Maina na Daniel Nudhu Njoki wanaodaiwa kukutana na ukatili wa polisi.
Wajumbe kutoka Ukraine, Urusi, na Marekani wamenza tena mazungumzo huko Abu Dhabi kwa duru ya pili ya mazungumzo yenye lengo la kutafuta suluhisho la vita nchini Ukraine. Baada ya duru…