Kumetokea shambulio la ndege zisizo na rubani katika Mji wa Goma, mkoa wa Kivu Kaskazini nchini DRC, Mji ambao kwa sasa uko chini ya udhibiti wa waasi wa AFC/M23, Shambulio lililolenga Makazi ya watu mashuhuri.
Imechapishwa: Imehaririwa:
Dakika 1 Wakati wa kusoma
Matangazo ya kibiashara
Kulingana na ripoti ya awali iliyotolewa na waasi hao, watu watatu waliuawa.
Taarifa zaidi baadaye kidogo……
Kusambaza :