Marekani imetoa siku 30 kwa baadhi ya mataifa kununua mafuta ya Urusi yaliyowekewa vikwazo, hatua iliyolenga kusaidia kupunguza bei ya nishati baada ya msongo wa soko kutokana na vita vya Iran na kuzorota kwa usambazaji wa mafuta ulimwenguni.
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amekosoa hatua hiyo akisema inampa Urusi nguvu kifedha na kistratejia, ikionekana kupunguza mashinikizo ya kiuchumi dhidi ya Moscow kutokana na vita nchini Ukraine.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)