Shughuli za usafiri katika barabara ya Mikumi kwenda Ifakara, mkoani Morogoro, zimesimama baada ya daraja la Kidoma-Mikumi kukatika kutokana na mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo.
Kukosekana kwa mawasiliano ya barabara hiyo kumewalazimu baadhi ya abiria waliokwama kushindwa kuendelea na safari zao.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)