Mashindano ya Quran yamefanyika katika kanda mbalimbali hapa nchini, huku wazazi wakitakiwa kuwalea watoto katika maadili mema ili kuandaa wazalendo watakaoweza kuwa viongozi bora hapo baadaye.

Juma Kapipi ametuandalia mkusanyiko wa ripoti kutoka maeneo mbalimbali ambako mashindano hayo yamefanyika.

Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *