Baadhi ya wananchi wamesema kutokana na gharama kubwa za matibabu na dawa katika hospitali za umma, kuna haja kwa serikali kufanya mapitio upya ili kupunguza mzigo kwa wananchi wasiokuwa na bima za afya.

Wakati wakitoa ushauri huo, wadau wa sekta ya afya pia wameiomba serikali kuwekeza zaidi katika uzalishaji wa vifaa tiba nchini ili kupunguza utegemezi wa kuagiza kutoka nje ya nchi.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *