#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, leo Machi 16, 2026 imefanya ziara katika Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania jijini Dar es Salaam (TCAA), na kujionea utendaji kazi wa Mamlaka hiyo na hasa Ujenzi wa Chuo cha Usafiri wa Anga CTCA ambao umefikia asilimia 14.
Akizungumza wakati WA ziara hiyo Waziri wa Uchukuzi Mhe.Prof.Makame Mbarawa amesema, Serikali imeweka mifumo ya Uchunguzi na uokoaji pindi majanga yanapotekea.
Prof. Mbarawa ameongeza kusema kuwa Serikali ina mpango wa kuweka mifumo ya uokoaji kwa maeneo yote yenye Maziwa na na Viwanja vya Ndege kama ilivyofanya mkoani Mwanza, kwa ajili ya Kanda ya Ziwa, kisha wataelekea Kigoma na mpango ni kufikia nchi nzima.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.