“….Mheshimiwa Waziri tunaomba umsimamie Mkandarasi yapo malalamiko ya malipo ambayo yanatolewa kwa wafanyakazi ambayo si haki stahiki kwa hiyo ni vizuri mkakaa naye mkaangalia kwa upana mazingira ambayo anawalipa wale wafanyakazi ili mradi wetu usiweze kuhujumiwa…..”-Mhe. Selemani Kakoso – Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.