#HABARI: Nyumba 127 zimeanguka na watu kadhaa kukosa makazi katika Kata za Zimba na Mtowisa Bonde la Ziwa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha katika maeneo hayo.
Kata zilizoathirika ni pamoja na Kata ya Mtowisa ambako nyumba 95 zimeanguka, huku Kata ya Zimba nyumba 32 zikianguka na kusababisha kaya kadhaa za wananchi kuachwa bila makazi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.