Ujenzi wa mradi wa bwawa la maji Kidunda mkoani Morogoro, ambao ni maalumu kwa ajili ya kuhifadhi maji kisha kuyasambaza kwa wakazi wa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, umefikia asilimia 47.

Mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imeiagiza mamlaka husika kuongeza juhudi ili mradi ukamilike kwa wakati.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *