#HABARI: Ujenzi wa Jengo jipya la Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya, uliotarajiwa kukamilika katika kipindi cha miaka mitatu umefikia asilimia 23, huku kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ikikagua Ujenzi wa jengo hilo jijini Nairobi na kueleza kuridhishwa kwa mchakato huo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania