Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imewaonya wafanyabiashara wanaokwepa koda na kuikosesha nchi mapato.

Akizungumza Jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa kikodi kwa wafanyabiashara wa China wanaoendesha shughuli zao nchini, Kamisha Mkuu wa TRA, Yusuph Mwenda amesema, TRA haitowavumilia wafanyabisha wowote wenye lengo la kukwepa kodi kwani ni adui wa maendeleo.

Kamisha Mkuu Mwenda amesema TRA haina ogomvi na makampuni yanayotoka China na badala yake wana ugomvi mtu yoyote anayekwepa kodi bila kuangalia ametoka nchi gani.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *