Serikali imezitaka mamlaka za uagizaji na upatikanaji wa mafuta nchini za EWURA, TPDC na PBPA kuunda timu maalumu kwa ajli ya kufuatilia mwenendo wa meli zilizopakia na kusafirisha mafuta kuja nchini na kuhakikisha zinafika kwa wakati ili kuzuia uhaba wa mafuta katika kipindi hiki cha vita Mashariki ya Kati.
Mhariri | @moseskwindi
(Feed generated with FetchRSS)