SIMBA SC: “Tumefanikiwa kubakiza kipaji halisi cha mpira”.
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally anaweka wazi sababu za kumuongezea mkataba winga wao Elie Mpanzu, azungumzia ratiba yao ya mazoezi katika kipindi hiki cha mapumziko ya FIFA, atoa neno kwa wachezaji wao walioitwa timu ya taifa, Taifa Stars.
#SimbaSC #AhmedAlly
(Feed generated with FetchRSS)