SOKA LA WANAWAKE: Ligi ya wanawake ya mkoa wa Dar es Salaam inazidi kunoga na sasa inaingia hatua ya sita bora ambayo itaanza rasmi Jumatano ya Machi 25 mwaka huu.

Katibu wa Chama cha Soka cha Wanawake mkoa wa Dar es Salaam (DWFA) Stephania Kabumba kuhusu maandalizi ya hatua hiyo itakayopigwa kwenye uwanaj wa Kinesi, na jinsi timu zilivyojipanga ‘kuuana’

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *