FIFA SERIES | Maandalizi ya Mechi za Kimataifa za Kirafiki za ‘FIFA Series’ nchini Rwanda yanaendelea vizuri ambapo tayari timu mbalimbali zimeanza kuwasili jijini Kigali kwaajili ya michezo hiyo.

Mechi hizo zitafanyika kwenye viwanja vya Kigali Pele na Amahoro kuanzia Alhamisi ya wiki hii na kuoneshwa mbashara Azam Sports.

Gift Macha yuko Kigali, Rwanda na hii ni taarifa yake.

#FIFASeries2026 #FIFASeries

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *