#HABARI: Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Isimani, William Lukuvi, ulivyofikishwa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuagwa na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi.
Shughuli hiyo inaongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi wa Serikali, vyama vya siasa na wananchi waliojitokeza kutoa heshima za mwisho.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)