#HABARI: Imeelezwa kuwa Uchumi wa mataifa yote duniani unategemea sana wananchi wenye afya bora kwa kuwa wanachangia katika ujenzi na uendeshaji wa uchumi.

Kauli hiyo imeelezwa na Mgeni rasmi wa tukio la maafali ya 15 ya kitaaluma ya wauguzi na wakunga wapya 2537 jijini Dodoma, Muuguzi Mbobezi Pro. Lilian Msele ambeye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) .

“Kama mnavyojua kuwa, Wauguzi na wakunga ndiyo Kundi kubwa zaidi wakiwa asilimia 60 ya watumishi wote katika Sekta ya Afya nchini hivyo, mnatarajiwa kutekeleza azma ya Taifa na kuhakikisha kila mtanzania anapata huduma bora wakati wote”

“Hivyo Baraza litahakikisha linasimamamia viwango vya kitaaluma ili huduma bora na salama ziweze kutolewa kwa wananchi katika ngazi zote.”

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *