Machi 27 kila mwaka Dunia huadhimisha ‘Siku ya Sanaa za Maonesho Jukwaani’ huku simulizi, utamaduni na mabadiliko katika jamii vikitajwa kuathiri maonesho ya jukwaani.

Wadau wa sanaa nchini nao wamezugumzia mchango wa sanaa hiyo licha ya changamoto zinazochangia kushuka kwa sanaa hiyo.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *