#FIFASeries: “Mchezo ulikuwa mzuri mchezo ulikuwa kwa upande wetu,” Kiungo wa Taifa Stars, Kelvin Nashon anasema baada ya kupoteza dhidi ya Liechtenstein mioyo yao iligubikwa na majozi na leo walipswa kuwafurahisha Watanzania.
Stars imeibuka mshindi wa tatu kundi ‘B’ kwenye mechi za kimataifa za kirafiki za FIFA Series 2026 nchini Rwanda baada ya Ushindi wa magoli 6-0 dhidi ya MACAU.
75’: Aruba 3-1 Liechtenstein
LIVE #AzamSports1HD.
#FIFASeries2026 #FIFASeries #FIFASeriesRwanda #ArubaVsLiechtenstein #Aruba #Liechtenstein
(Feed generated with FetchRSS)