“Katika mwaka wa fedha 2024/2025 jumla ya tuzo za zabuni zenye thamani ya trilioni 14.5 zilitolewa kwa wazabuni, kati ya hizo zabuni zenye thamani ya trilioni 9.1 zilitolewa kwa wazabuni wa ndani yaani wazawa,”-Bw. Dennis Simba – Mkurugenzi Mkuu wa PPRA.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
(Feed generated with FetchRSS)