“Mh. Rais naomba kukufahamisha kwamba sikuweza kukagua hesabu za CHADEMA kwa mwaka wa fedha 2024/2025 baada ya kupata taarifa kutoka kwa Msajili wa Vyama vya siasa kuhusu mashauri yanayoendela Mahakamani”- Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Dkt. Charles Kichere, leo March 30,2026
(Feed generated with FetchRSS)