Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwa na ongezeko la hati safi kwa mwaka 2024|2025, kwa mujibu wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ikilinganishwa na mwaka 2023/2024.

Rais Samia ameeleza hayo leo, Machi 30, 2026, wakati akipokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) katika Ikulu ya Dar es Salaam.

#startvupdate

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *