Uchunguzi wa UN wafichua mauaji ya halaiki Suwayda Syria, wataka uwajibikaji
Zaidi ya watu 1,700 waliuawa na karibu 200,000 wakakimbia makazi yao Suwayda, Syria. Ripoti ya HRC yafichua uharibifu mkubwa na mashambulizi dhidi ya raia. Pande zote vikosi vya serikali, makundi…