Rais wa Cuba asema mkutano ulioitishwa na Donald Trump huko Florida ni ‘ukoloni mamboleo’
Rais wa Cuba Miguel Díaz-Canel ameuelezea kama “ukoloni mamboleo” mkutano ulioitishwa Jumamosi, Machi 7, huko Florida na mwenzake wa Marekani, Donald Trump, ambaye amedai katika tukio hilo kwamba Cuba “inaishi…