Polisi Wathibitisha waliofariki katika mafuriko Nairobi ni watu 23 baada ya mvua kubwa ya Ijumaa
NPS ilithibitisha mafuriko Nairobi yaliyotokea Machi 6 yalisababisha vifo vya watu 23 na kuharibu mali huku baadhi ya wakazi wakihama makwao. Watu 29 wameokolewa.