Siku mbili baada ya aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Utaratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi kuzikwa Rais Samia Suluhu Hassan amemteua profesa Palamagamba Kabudi kushika nafasi hiyo.

Profesa Kabudi aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Ikulu (Kazi Maalum), ametengazwa leo kushika nafasi ya Lukuvi aliyefariki dunia Jumatatu Machi 25,2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa matibabu.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *