Rais Samia Suluhu Hassan amemteua balozi, Ali Jabir Mwadini kuwa msaidizi wake.
Mwadini ameteuliwa kuwa Katibu wa Rais baada ya balozi Waziri Rajab aliyekuwa Katibu wa Rais kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda.
Balozi Mwadini ni mwanadipomasia mwandamizi mwenye asili ya Zanzibar aliyehudumu kama balozi nchini Ufaransa na mwakilishi wa kudumu wa UNESCO.

(Feed generated with FetchRSS)