Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu ameagiza kuwasilishwa kwa majina ya halmashauri ambazo hazikutekeleza mpango wa serikali wa kununua dawa za viuadudu kwa ajili ya kukabiliana na malaria nchini.

Zungu ametoa maagizo hayo leo Aprili 2, 2026.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *