Serikali imesema imejiandaa kikamilifu kwa ajili ya upokeaji wa wanafunzi wa kidato cha kwanza mwishoni mwa mwakani baada ya mtaala wa elimu kuboreshwa ambapo wanafunzi wanaomaliza darasa la saba na darasa la sita watakamaliza kwa pamoja.

Waziri Mkuu ametolea ufafanuzi mipango iliyopo na mikakati ya utekelezaji huo akiwa Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu maswali ya ‘Papo kwa hapo’.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *