#HABARI:Watu tisa wakiwemo Askari wawili wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro pamoja na Askari mmoja wa Jeshi la Polisi na raia wengine sita, wamenusurika kifo baada ya gari la kubeba mafuta lililopata ajali usiku wa kuamkia leo kulipuka moto wakati wakihamisha mafuta aina ya petroli kuyaweka kwenye gari lingine katika eneo la Doma Wilaya ya Mvomero barabara ya Morogoro Mikumi.

Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro SSF Shabani Marugujo, ametoa tahadhari kwa madereva wanaoendesha magari ya kusafirisha mafuta kuwa makini huku akiwataka wamiliki na wafanyabiashara wa mafuta kutumia wataalamu wabobezi wa mafuta, kwenye magari yao ili kuepusha ajali ya moto na hasara.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *