#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ametoa kauli ya Serikali juu ya Taarifa za Uzushi zinazoendelea kuenea kupitia mitandao ya kijamii huku akiitoa jamii wasiwasi juu ya taarifa hizo ambapo Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimefanya uchunguzi wa kina na kubaini hakuna ukweli wa taarifa hizo.

Waziri Katambi amesema serikali itawachukulia hatua watu wote wanaoeneza uzushi huo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *