SIMBA SC: “…Elie Mpanzu anaumwa….na imemuuma sana kuikosa mechi dhidi ya Azam FC”
Je, kuna tatizo gani kati ya Simba SC na kiungo wake Elie Mpanzu??
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Crescentius Magori ananyoosha maelezo huku akimuelezea mchezaji huyo kama moja ya wachezaji wenye nidhani ndani ya klabu.
Magori pia amefafanua kuhusu mpango na utaratibu wa ujenzi wa uwanja wa klabu hiyo…..
(Feed generated with FetchRSS)