MBEYA CITY: “…heshima yetu haiwezi kutuzuia kupata alama tatu”
Afisa Habari wa Mbeya City, Gwamaka Mwankota anawaita mashabiki mkoani Manyara kulijaza Dimba la Tanzanite Kwaraa katika mchezo wao wa kesho dhidi ya Azam FC.
Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #azamSports2HD
#NBCPremierleague #AzamFC #MbeyaCity
(Feed generated with FetchRSS)