Wizara ya Sheria na Katiba imesema kumekuwa na ongezeko la talaka zilizosajiliwa, kutoka 711 mwaka 2023 hadi 1,172 mwaka 2025.

Kwa maoni yako, ni mambo gani yanachangia ongezeko hili la talaka Tuandikie maoni yako na tutayasoma moja kwa moja kupitia #AdhuhuriLive saa 7:00 mchana kupitia #UTV.

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *