“Ni muda wa kufikiria kujenga barabara za Lami, na kuachana na Barabara za Vumbi, na mmerahisisha lugha kuita barabara za vumbi, barabara za vumbi wakati wa kiangazi ikifika masika ni barabara za tope, nadhani tuzibadilishe jina tuziite za tope…”-Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando maarufu Baba Levo.

#BUNGENI

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *