Kaya 1,800 kati ya 2,200 katika vijiji 66 mkoani Kigoma tayari zimeanza kunufaika na uwepo wa nishati ya umeme wa gridi ya taifa chini ya mpango wa umeme kwa vijiji vilivyo pembezoni unaosimamiwa na kampuni tanzu ya Tanesco kampuni ya ETDCO inayoshughulika na ujenzi, ukarabati na utekelezaji wa miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme.

Ruvilo anaripoti zaidi.

Mhariri @moseskwindi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *