Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo wameiomba serikali kupunguza baadhi ya tozo katika mafuta ili kuepuka kupanda kwa gharama za bidhaa, ambazo tayari zimeanza kuonekana.

Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Severine Mushi wakati akitangaza kuanza kwa wiki ya maadhimisho ya mkutano mkuu utakaofanyika mwishoni mwa wiki hii.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *