#HABARI: Mwenyekiti wa WLF, Mhe. Dkt. Evaline Munisi (MB), ametoa wito kwa Watanzania, hususan kizazi cha sasa, kuutazama Muungano kama amana takatifu ya Taifa na tunu ya kihistoria tuliyoachiwa na waasisi wetu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume.

Amesisitiza kuwa jamii ina wajibu wa kuzingatia falsafa za waasisi wa Muungano huo; falsafa za umoja, uzalendo, mshikamano, usawa, utu, amani na maslahi mapana ya Taifa.

“Muungano si urithi wa kuutazama kwa mazoea, bali ni dhamana ya kuulinda kwa vitendo, kuuenzi kwa uzalendo na kuurithisha kwa heshima kwa vizazi vijavyo.”

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *